Featured

'New Song' sung by Ali Kiba

Thanks! Share it with your friends!

You disliked this video. Thanks for the feedback!

Added by
532 Views
FAHAMU: Msanii nyota wa bongofleva na CEO wa Kings Music Records Ali Kiba yupo mbioni kuachia Tracks mpya na msanii maarufu kutoka Nigeria Davido. Tetesi za kolabo hiyo zinakuja baada ya kusambaa kwa video clips katika mitandao ya kijamii zikimuonesha Davido na Alikiba wakiwa pamoja kisha akaskika Davido akisema 'Davido ft King KIba coming soon'. So tutegemee ujio huu mda sio mrefu nipe maoni yako hapo chini kuhusu ishu hii Social Media links Twitter https://twitter.com/ophorotube Instagram https://www.instagram.com/ophorotube/ Facebook https://web.facebook.com/ophorotube
Category
Tanzania Songs
Tags
Alikiba Ft Davido - New Song ( Kionjo), music, songs, videos

Post your comment

Comments

Be the first to comment